1 Corinthians 5:1

Mwasherati Atengwe

1 aYakini habari imeenea ya kuwa miongoni mwenu kuna uzinzi ambao haujatokea hata miongoni mwa watu wasiomjua Mungu: Kwamba mtu anaishi na mke wa baba yake.
Copyright information for SwhKC